Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Wataka mechi ipigwe usiku

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Simba, Yanga kukutana tena

Image Miamba ya soka nchini inatarajiwa kukutana tena kwenye nusu fainali ya Kombe la Tusker. Simba ilipata tiketi ya kucheza nusu fainali baada kuichapa Mtibwa 2-1 wakati yanga wao waliwafunga Tusker ya Kenya mabao 3-1 jana kwenye uwanja wa Uhuru. Kwenye mechi nyingine, Tusker itakipiga na Sofapaka

Tags:

0 comments

Post a Comment