Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Siku chache baada ya kutoa kichapo kikali kwa Wekundu wa msimbazi Yanga yachukua ubingwa kombe la Tusker

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Hongera Yanga, New year Celebrations
Timu ya yanga FC imeibukaa kifua mbele baada ya kuwafunga Sofapaka kwa mabao 2-0 katika mpambano wa kukatana shoka, uliopigwa hii leo na kufanikiwa kutwaa kombe la michuano hiyo ya Tusker
YANGA YAMUUA PAKA YANGA YAMUUA PAKA
Tags:

0 comments

Post a Comment