Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Baada ya kupigwa Bao timu ya Sofapaka ilifanya fujo...

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter TIMU ya Yanga jana ilifanikiwa kunyakua kombe la Tusker baada ya kuifunga Sofapaka ya Kenya kwa mabao 2-1 katika fainali zilizofanyika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Licha ya kombe hilo, timu hiyo pia imezawadiwa kitita cha shilingi milioni 40 kwa ushindi huo.
YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Kikosi cha Yanga kilichoiua Sofapaka. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Kombe hili ndilo walilokabidhiwa Yanga. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya mpira kumalizika. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete (kulia), akiwa na kombe baada ya kukabidhiwa kwa kuwa mfungaji bora katika michuano hiyo. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Waziri wa Utamaduni na Michezo, Capt. George Mkuchika (kushoto), akimkabidhi kombe la Tusker nahodha wa Yanga, Abdi Kasim. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Kikosi cha Sofapaka kilichopambana na Yanga jana. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Katibu Mkuu wa klabu ya Simba, Mwina Kaduguda, akiwa na mfano wa hundi ya Sh. Milioni 10 waliyokabidhiwa baada ya timu yake kutwaa nafasi ya tatu. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Beki wa Sofapaka, Edgar Ochieng (katikati), akijaribu kuwadhibiti washambuliaji wa Yanga, Boniface Ambani (kushoto) na Khalfan Ngasa wakati wakipeleka shambulizi golini kwake. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Mshambuliaji wa Yanga, Boniface Ambani, akiifungia timu yake bao la pili lililoiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Nurdin Bakari wa Yanga (kushoto) akijaribu kumhadaa beki wa Sofapaka, Wanyama Thomas. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Maafande wa kikosi cha kutuliza ghasia ‘FFU’ wakinunua jezi za Yanga uwanjani hapo. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Kiungo wa Yanga, Athumani Idd ‘Chuji’ (kulia), akijiandaa kuachia shuti mbele ya kipa wa Sofapaka, Wilson Obungu. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Obungu akinyaka shuti miguuni mwa Chuji, kitendo kilichosababisha aumie. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Obungu akiugulia maumivu baada ya kugongana na Chuji. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Refa wa mpambano huo, Dennis Batte, anayeingiza mkono mfukoni, pamoja na wasaidizi wake, wakitolewa nje ya uwanja na askari wa kutuliza ghasia FFU baada ya kutishiwa amani na kipa wa Sofapaka, Wilson Obungu. YANGA KIDUME KOMBE LA TUSKER Kipa wa Sofapaka (mwenye jezi nyekundu anayelia) akishikwa ili asiendelee kufanya vurugu. PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS - 0713562001 /GPL
Tags:

0 comments

Post a Comment