Breaking News.. Habari yako sasa kubrekishwa Live...
![](http://2.bp.blogspot.com/_4uoEb5Uo2u0/SyJblW08ZYI/AAAAAAAACh8/YCQ6aoKgyeU/s320/LOGO+THOMCOM+2.jpg)
Wadau wote mnaombwa kuandika habari zinazoendana na maadili ya jamii na zisizo za kibiashara.
Administrator wa Globu hii ya jamii atakuwa na haki ya kufuta, kurekebisha makosa, kuedit na kubrekisha identity ya mwandishi.
don't feel alone... wote mnakaribishwa katika kuendeleza libeneke.
Make The World The Best Place To Live
Ask for Quality
![](http://www.blogger.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
kuna demu mtanzania mwaka wa 3 anakaa blok 2 anadaiwa dola elfu kumi na mbili alizikopa kwenye bank ya kamuzora.hii ni aibu na inatia hasira.tunaskia amezuiwa hata kuchukuz bum lake la mwaka huu.kupitia blog hii ya kurekebisha tabia tunaomba wengine wasiige.