Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - MJUE MDAU HUYU....

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter wadau na waprnzi wa THE THOMCOM, mnakarikishwa katika lipindi la kukata na shoka, likipindi lenye mandumbwendumbwe, navoko ya kukata na shoka na maexplaination kuhusu watu maarufu kabisa wanaoishi hapa Moscow Russia. Anayebaatika kutufungulia likipindi hili la kila jumamosi ni Dada yetu mpendwa, maarufu sana, mdada la mitikasi, katika picha hapo. Dada huyu anasoma likozi maarufu sana hapa Moscow. labda niwaulize swali wapenzi na wasomaji wa THE THOMCOM, mnamfahamu? yeyote mwenye jibu la swali hilo atume maoni yake alafu THE THOMCOM itabrekisha zaizi kuhusu mdau huyu.
Tags:

2 comments

  1. Anonymous says:

    mamaaa! yuko wapi mdau mwenyewe? hamna kitu hapo

  2. Anonymous says:

    kuficha sura ndio nini mbona wanafahamika. eeeeeeeh! huyo wa kushoto ni mwanamke au mwanamke?

Post a Comment