Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - sasa ni kazi ya Rais Medvedev kukubali au kukataa Uhuru wa majimbo mawili ya Georgia yanayotaka kujitenga

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Baada ya wabunge wa Russia kupitisha uamuzi kumuombe Rais akubali uhuru wa Abkhazia na South Ossetia Rais wa Russia Dmitry Medvedev anangojewa kwa hamu atoe uamuzi wake baada ya kura za siri za leo jumatatu za wabunge wanaojulikana kama Upper Federation Council, au upper chamber of the Russian parliament kupiga kura za ndio 130 kati ya 0 za hapana. baadaye jioni kundi la wabunge linalojulikana kama The parliament's lower house au DUMA likapiga kura yake pia kumshinikiza Rais akubali kuwa Abkhazia na South Ossetia ni mataifa huru. hadi sasa Rais wa Russia Dmitry Medvedev hajasema chochote.... Written by THOMCOM
Tags:

0 comments

Post a Comment