ILI kuonyesha kuwa wanawajali sana wanyama hawa, wakazi wa nchi ya Thailand huadhimisha Siku ya Tembo ambapo tembo hulishwa miwa, matunda na majani ya migomba katika kambi za kufuga wanyama hao.
Tembo wanatambulika kuwa wanyama wa taifa nchini Thailand na maadhimisho hayo yanaheshimika na hufanyika machi 13 kila mwaka.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za mojawapo ya maadhimisho
![](http://www.blogger.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
0 comments