Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA LEO - Yanga yatwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania mwaka huu 2011

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Yanga leo wameifunga Toto Africa mabao 3-0 uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kufanikiwa kuwavua ubingwa Simba SC ambao pamoja na kuifunga MajiMaji ya Songea bao 4-1 katika mchezo wao wa mwisho uwanja wa Uhuru jijini Dar, wamejikuta wanatema ubingwa wakiwa na point sawa lakini kwa tofauti ya magoli. Yanga amefunga magoli 32 na amefungwa 7 wakati Simba wamefunga magoli 40 na wamefungwa 16. kwa matokeo hayo Yanga 32-7=25 na Simba40-16=24. YANGA BINGWA...

0 comments

Post a Comment