TAARIFA KWA HISANI YA UMOJA WA WANAFUNZI MOSCOW RUSSIA
1.NAMBA YAKO YA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE.
- KWA SCHOOL AU PRIVATE CANDIDATES.
- KWA WALIORUDIA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE, WATUMIE NAMBA ZAO ZA ZAMANI ZAIDI.
- KWA WALIOFANYA MITIHANI YA FORM FOUR YA AINA TOFAUTI (KAMA CAMBRIDGE) AU WALIOFANYIA MITIHANI HIYO KATIKA NCHI NYINGINE (MF.KENYA, UGANDA, MALAWI, ZAMBIA) WATUMIE NAMBA ZAO WALIZOTUMIA KUFANYIA MITIHANI HIYO ILI KUWEZA KUJISAJILI.
2. MWAKA WAKO WA KUHITIMU KIDATO CHA NNE.
3.NAMBA YAKO KAMILI YA USAJILI CHUONI LUMUMBA.
4.ANUANI YAKO YA KUDUMU.
HATUA MUHIMU KATIKA UJAZAJI
- Hatua ya kwanza - Kujisajili.
- Hatua ya pili - Kuingiza taarifa zako za awali.
- Hatua ya tatu - Kulipia fomu.
- Hatua ya nne - Kumalizia kujaza fomu.
NB: UNASHAURIWA KUWA MAKINI KWA SABABU UTATAKIWA KUPRINT BAADHI YA SEHEMU ZA FOMU HII KABLA HUJAIWASILISHA.
NB: NAMNA YA KUPRINT BAADHI YA SEHEMU ZA FOMU HII KWA MTU ASIYEKUWA NA PRINTER, FUATA HATUA ZIFUATAZO.
- create a new folder on desktop (you can rename it)
- right click anywhere on the page which you have just finished to fill in your information
- select PRINT
- click SEND TO OneNote 2003/2007/2010
- click PRINT
- a new Microsoft OneNote document will appear
- save it in the folder you created
- repeat the same procedure for all pages which are to be printed
- Baada ya kumaliza zoezi hilo, unaweza ukachukua document hizo kwa kutumia flash yako na kwenda kuziprint sehemu ambapo kunatolewa huduma hiyo ili kupata hard copies.
- Kwa kutumia moja kati ya browser zifuatazo, GOOGLE CHROME, INTERNET EXPLORER, OPERA, au SAFARI (tafadhari unashauriwa kutotumia MOZILLA FIREFOX) fungua link ifuatayo http://olas.heslb.go.tz/.
- Kuanza kujisajili.
- Kwa waliofanya mitihani yao ya kidato cha nne nchini Tanzania (NECTA CANDIDATE) watumie link ya kwanza kujisajili, inayosomeka...,(New Applicant? (NECTA Candidates) - Self Register).
- Kwa waliofanya mitihani ya aina nyingine (tofauti na mitihani ya NECTA) au waliofanya mitihani nje ya nchi(katika nchi nyingine) watumie link ya pili kujisajili, inasomeka...,(New Applicant? (Others e.g. Cambridge or Overseas) - Self Register).
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Baada ya kubonyeza link ya kujisajili (kwa NECTA CANDIDATES), utatakiwa kuingiza taarifa zifuatazo kwa mujibu wa namba yako ya mtihani wa kidato cha nne.
- Aina ya utahiniwa(Aidha SCHOOL au PRIVATE)
- Namba ya shule (tarakimu 4)
- Namba yako ya utahiniwa (tarakimu 4)
- Mwaka wako wa kuhitimu kidato cha nne (mfano, 2002)
- Neno la siri ambalo utalikumbuka kwa urahisi (herufi 6)
- Aina ya mwombaji wa mkopo (CONTINUING OVERSEAS UNDERGRADUATE).
- BAADA YA KUINGIZA TAARIFA HIZO, UNATAKIWA KU-PRINT PAGE HIYO KABLA HUJAI-SUBMIT.
MFANO HALISI WA NAMNA YA KUJAZA TAARIFA HIZO HAPO JUU UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Baada ya kui-print page hiyo, na kui-submit, itatokea page yenye kichwa cha habari SELF REGISTER SUCCESS,ambayo itakuonesha LOGIN NAME yako.(Tafadhari nakili hiyo login name na uihifadhi vizuri)
- KISHA UNATAKIWA KUI-PRINT PAGE HII KABLA YA KUENDELEA MBELE.
MFANO HALISI WA PAGE HIYO UMEONESHWA HAPO CHINI
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Baada ya kui-print page hiyo, bonyeza chini palipoandikwa(CLICK HERE TO CONTINUE.....)
HATUA YA PILI (Kuingiza taarifa zako za awali)
- Baada ya kutokea page yenye kichwa cha habari (APPLICATION HOME-PRELIMINARY TASKS), upande wakushoto wa page hiyo bonyeza kwenye neno SET SECRET QUESTION.
- Itafuata page yenye kichwa cha habari SECRET QUESTION AND ANSWER FORM. Hapo unatakiwa kuchagua swali la siri na pia kuingiza jibu lake. (TAARIFA HIZI PIA UTATAKIWA KUZITUNZA KWANI ZITATUMIKA KUKUSAIDIA KUPATA PASSWORD NYINGINE ENDAPO UTASAHAU PASSWORD YAKO YA AWALI).
MFANO HALISI WA NAMNA YA KUJAZA TAARIFA HIZO HAPO JUU UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Baada ya kuingiza taarifa hizo hapo juu, submit fomu hii kwa kubonyeza neno SUBMIT.
- Baada ya kui-submit page hiyo hapo juu, itafuata page yenye kichwa cha habari APPLICATION HOME PRELIMINARY TASKS, upande wa kushoto wa page hiyo bonyeza neno ENTER PERSONAL DETAILS.
- Itafuata page yenye kichwa cha habari PERSONAL DETAILS FORM. Hapa utatakiwa kuingiza jina lako la mwisho (surname), la kwanza (first name), la kati (middle name), namba yako ya simu, barua pepe, na pia jinsia yako.
- KISHA UNATAKIWA KU-PRINT PAGE HII KABLA HUJAENDELEA MBELE.
MFANO HALISI WA NAMNA YA KUJAZA TAARIFA HIZO HAPO JUU UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Baada ya kui-print page hiyyo unaweza kui-submit.
- Baada ya kui-submit page hiyo itafuata page yenye kichwa cha habari APPLICATION HOME-PRELIMINARY TASKS, upande wa kusoto wa page hiyo bonyeza kwenye nenoENTER PRELIMINARY INFORMATION.
- Itafuata page yenye kichwa cha habari PRELIMINARY INFORMATION FORM. Hapa utatakiwa kuingiza kaarifa zako za kazi, kipato, hali ya wazazi, matokeo uliyotumia kujiunga na chuo(FORM 4 au FORM 6), na idadi ya mara ulizorudia mtihani wa kidato cha nne.
- KISHA UNATAKIWA KU-PRINT PAGE HII KABLA HUJAENDELEA MBELE.
MFANO HALISI WA NAMNA YA KUJAZA TAARIFA HIZO HAPO JUU UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Baada ya kui-print page hiyo unaweza kui-submit.
- Baada ya kui-submit page hiyo hapo juu itafuata page yenye kichwa cha habari LOAN APPLICATION FORMS, tafadhari soma kwa makini sana maelezo yaliyotolewa katika ukurasa huu.
Kisha upande wa kushoto wa page hii bonyeza kwenye nenoCONTINUING STUDENT'S LOAN APPLICATION.
MFANO HALISI WA PAGE HIYO UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Itafuata page yenye kichwa cha habari CONTINUING STUDENT'S LOAN APPLICATION, upande wa kushoto wa page hii bonyeza kwenye neno PERMANENT ADDRESS.
- Itafuata page yenye kichwa cha habari APPLICANT'S PERMANENT ADDRESS. Hapa utatakiwa kuingiza anuani kamili ya makazi yako ya kudumu (anuani ya wazazi/familia yako) yaani anuani ya posta, mkoa , wilaya, kata, na kijiji/mtaa.
- KISHA UNATAKIWA KU-PRINT PAGE HII KABLA HUJAENDELEA MBELE.
MFANO HALISI WA NAMNA YA KUJAZA TAARIFA HIZO HAPO JUU UMEONESHWA HAPA CHINI.
- Baada ya kui-print page hiyo unaweza kui-submit
- Itafuata page yenye kichwa cha habari CONTINUING STUDENT'S LOAN APPLICATION.
- Upande wa kushoto wa page hii bonyeza kwenye nenoADMISSION DETAILS.
- Itafuata page yenye kichwa cha habariUNIVERSITY/COLLEGE ADMISSION DETAILS. Hapa utatakiwa kuingiza jina la taasisi unayosoma (OVERSEAS INSTITUTION), kozi unayosoma (OVERSEAS UNDERGRADUATE COURSE), mwaka wa masomo unaotarajia kuingia mwakani, mwaka wa masomo unaoombea mkopo, mwaka uliodahiliwa, namba yako ya usajili chuoni, kuonesha kama unarudia mwaka wa masomo au la, kuonesha kama unataka upatiwe mkopo au la.
- KISHA UNATAKIWA KU-PRINT PAGE HII KABLA HUJAENDELEA MBELE.
MFANO HALISI WA NAMNA YA KUJAZA TAARIFA HIZO HAPO JUU UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Baada ya kui-print page hiyo unaweza kui-submit.
- tafuata page yenye kichwa cha habari CONTINUING STUDENT'S LOAN APPLICATION.
MFANO HALISI WA PAGE HIYO UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Upande wa kulia wa page hiyo bonyeza neno SELECT LOANABLE ITEMS.
- Itafunguka page yenye kichwa cha habari SELECT ALL LOAN ITEMS YOU WISH TO APPLY FOR. Hapa utatakiwa kuweka vema katika kila kipengele ambacho unataka bodi ikupatie fedha kwaajili yake.
- KISHA UNATAKIWA KU-PRINT PAGE HII KABLA HUJAENDELEA MBELE.
MFANO HALISI WA NAMNA YA KUJAZA TAARIFA HIZO HAPO JUU UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Baada ya kui-print page hiyo unaweza kui-submit.
- Itafuata page yenye kichwa cha habari CONTINUING STUDENT'S LOAN APPLICATION.
MFANO HALISI WA PAGE HIYO UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Upande wa kushoto wa page hii boneza neno FINISH YOUR APPLICATION PACKAGE.
- Itafuata page yenye kichwa cha habari FINISH CONTINUING STUDENTS LOAN APPLICATION. Hapa utatakiwa kusoma kwa makini maelezo hayo katika page hiyo.
- ENDAPO UTAKUWA BADO HUJALIPIA FEDHA YA FOMU ,BASI UNAWEZA KUISHIA HATUA HII KWANZA NA KUFANYA UTARATIBU WA KUILIPIA FOMU ILI UWEZE KURUHUSIWA KUMALIZIA KIPENGELE CHA MWISHO CHA UJAZAJI WA FOMU HII.
MFANO HALISI WA PAGE HIYO UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- MPAKA HAPO UNAKUWA UMEMALIZA KUJAZA KIPENGELE CHA TAARIFA ZA AWALI.
- Unatakiwa uwasiliane na mtu yeyete unayefahamiana naye nyumbani Tanzania ili aweza kukulipia fomu yako kwa njia zitakazotajwa baadae hapo chini.
- Gharama ya kulipia fomu hii ni Tsh.10,000/=
- Fomu hii inalipiwa kwa njia ya malipo ya simu kwa kutumia mitandao hii: Vodacom(huduma ya M-PESA), Airtel(huduma ya ZAP) na Tigo (huduma ya TIGO PESA). Lakini unashauriwa kutumia M-PESA au ZAP kwa sasa, kwa kuwa TIGO PESA haifanyi kazi kwa sasa.
- Unatakiwa kutumia LOGIN USER NAME yako (Mfano, SO578.0983.2001) uliyopewa mara tu baada ya kujisajili ili kuweza kufanya malipo hayo.
- Baada ya kufanya malipo hayo, mlipaji atatumiwa ujumbe kwenye namba ya simu aliyotumia kufanya malipo. Ujumbe huo utakuwa na namba ya siri (TRANSACTION ID , Mfano; B46VG713) ambayo atatakiwa kukutumia ili uweze kuitumia namba hiyo kumalizia kujaza fomu yako online.
- Maelezo yafuatayo ni muhimu sana na unatakiwa uyasome kwa umakini ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza endapo hutafuata kinachoelekeza hapa.
How to pay the application fee
Each applicant shall use the username (generated by the Online Loan Application system based on the Form Four Index number) as a Reference number when making the electronic payment. The mobile money payment systems will generate a unique Transaction ID which will have to be input into the Online Loan Application System
- How to pay via M-Pesa
- A registered customer dials *150# from the mobile set
- Select M-Pesa menu
- Choose option 4 for "Payments" ("Lipa bili")
- Enter 6 digit HESLB account number (800500)
- Enter the amount in Tshs to pay (10,000)
- Enter your 15 character username given by the system based on your form four index number
- Enter a 4 digit PIN to confirm
- A confirmation Message will be displayed.
- How to pay via ZAP
- On your mobile phone go to applications, then choose “Airtel” menu
- Select option 2 or “Zap”
- Select option 1 or “Money”
- Select option 2 or “To nick-name”
- Enter “HESLB” as the nick-name
- Enter Amount in Tshs to pay (10,000)
- Enter your 15 character username given by the system based on your form four index number
- Confirm the amount and nick-name
- Enter your 4 digit PIN/Password
HAPO UTAKUWA UMEMALIZA ZOEZI LA KULIPIA FOMU YAKO. KUMBUKA KUMWAMBIA ATAKAYEKULIPIA AKUTUMIE MOJA KWA MOJA MESSAGE ATAKAYOKUWA AMETUMIWA KWENYE SIMU YAKE MARA TU BAADA YA KUFANYA MALIPO HAYO. (MESSAGE HIYO ITAKUWA INAONESHA TRANSACTION ID, KIASI CHA PESA ILIYOLIPWA, MLIPWAJI (HESLB), LOGIN NAMBA YAKO, NA NJIA ILIYOTUMIWA KUFANYA MALIPO HAYO (AIDHA M-PESA AU ZAP).
- Kwa kutumia moja kati ya browser zifuatazo; google chrome, internet explorer, opera, au safari (tafadhari unashauriwa kutotumia Mozilla Fire Fox), fungua link ifuatayo http://olas.heslb.go.tz/
MFANO HALISI WA PAGE HIYO UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Katika link inayosomeka (Registered Applicant? - Login here), Login kwa kutumia username yako (mfano, S0578.0983.2001) na password yako (ambayo ni siri yako).
- Page yenye kichwa cha habari LOAN APPLICATION FORMS itatokea.
MFANO HALISI WA PAGE HIYO UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Upande wa kushoto wa page hiyo bonyeza neno FINISH YOUR APPLICATION PACKAGE.
- Page yenye kichwa cha habari FINISH CONTINUING STUDENT LOAN APPLICATION itatokea.
MFANO HALISI WA PAGE HIYO UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Soma vizuri maelekezo yaliyopo katika page hiyo. Katika sentensi ya pili kutoka chini (.....and enter the details here. NO.....) bonyeza neno " here. "
- Itatokea page yenye kichwa cha habari APPLICATION FEE PAYMENT DETAILS. Hapa utatakiwa kuingiza taarifa zifuatazo, Njia uliyotumia kufanya malipo (kati ya M-PESA au ZAP), TRANSACTION ID yako, na Kiasi cha pesa ulicholipa.
- KISHA UNATAKIWA KU-PRINT PAGE HII KABLA HUJAENDELEA MBELE.
MFANO HALISI WA NAMNA YA KUJAZA TAARIFA HIZO HAPO JUU UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- Baada ya kui-print page hiyo unaweza kui-submit.
- Page yenye kichwa cha habari CONTINUING STUDENT'S LOAN APPLICATION itatokea.
MFANO HALISI WA PAGE HIYO UMEONESHWA HAPA CHINI.
(CLICK JUU YA PICHA HII ILI KUIFANYA IWE KUBWA)
- HUO NDIYO MWISHO WA ZOEZI LA UJAZAJI FOMU ONLINE.
BAADA YA ZOEZI HILO, UNATAKIWA KUKABIDHI VITU VIFUATAVYO KWA UONGOZI (MWAKILISHI WAKO WA BLOCK);
- NAKALA ZOTE ZA FOMU ULIZO-PRINT (8 PRINTED PAGES).
- BANK STATEMENT YAKO.
UONGOZI UNAWATAKIA KILA LA KHERI WANAFUNZI WOTE KATIKA ZOEZI ZIMA LA UJAZAJI FOMU .PIA MNAKUMBUSHWA KUJAZA MAPEMA NA KUZIKABIDHI NAKALA HUSIKA KWA VIONGOZI WENU WA NYUMBA(BLOCKS).
No comments:
Post a Comment