Wachezaji wa timu ya Kilimanjaro Stars wakishangilia ushindi walioupata dhidi ya Ugannda 'The Craners' kwa mikwaju ya penati 5-4 na kupata tiketi ya kuingia fainali ya mashindano ya Tusker Challange Cup katika mchezo uliopiga jioni ya leo ndani ya Uwanja wa Taifa,jijini Dar. kwa matokeo hayo Kilimanjaro Stars itamenyana na Ivory Coast katika fainali ya mashindano ya Tusker Challange Cup hapo jumapili ya Desemba 12.
You Are Here: Home - - KILIMANJARO STARS YATINGA FAINALI KWA KUIFUNGA UGANDA BAO 5-4 KWA MATUTA
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:

0 comments