You Are Here:
Home -
-
JK Atunukiwa tena Shahada ya Heshima
JK Atunukiwa tena Shahada ya Heshima
Posted by B.M.T on Sunday, December 12, 2010 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
![Image](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tfA6CDMbGZAPVEuB5JEjw4f2I_ja5rL5lPgNy9qefy9rFsFFb5l2PlYMsAD-CElvViQIVGrWSuP57WA-I_O8bhIVfW5RQg5m5V1R7isITQhCAmug=s0-d) |
Rais Jakaya Kikwete akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Afya ya Jamii ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na Mkuu wa chuo hicho, Alhaj Ali Hassan Mwinyi (kushoto) wakati wa Mahafali ya nne ya chuo hicho yaliyofanyika Dar es Salaam. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya ufundi, Dk Shukuru Kawambwa (kulia) na Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho, Deogratius Ntukamazina. |
Tags:
0 comments