Kwa mujibu wa matokeo ambayo Mwananchi imeyapata, Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Vedasto Mathayo amepata nafasi ya pili kwa kupata kura 14,723 sawa na asilimia 39.3.
Hata hiyo mgombea wa Chama Cha Wananchi (CUF) Mustafa Wandwi ameshikilia nafasi ya tatu kwa kura 253 sawa na asilimia 0.7 huku mgombea wa NCCR-Mageuzi akishikilia mkia kwa kupata kura 19 sawa na 0.5.

0 comments