IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
1. Waziri wa nchi afisi ya rais na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi dk mwinyihaji makame
2. Waziri wa nchi afisi ya rais fedha uchumi, mipango na maendeleo, mhe omar yussuf mzee. (Alikuwa naibu waziri wa Uchumi na Fedha Tanzania
3. Waziri wa nchi afisi ya rais utumishi wa umma na utawala bora. Mhe haji omar kheir
4. Wizara ya nchi afisi ya makamo wa kwanza wa rais waziri ni mhe fatma abdul habib fereji na waziri wa nchi afisi ya makamu wa pili wa rais ni mhe mohd aboud mohd.
5. Wizara katiba na sheria mhe abuu bakar khamis bakar,
6. Wizara ya miundombinu na wawasiliano mhe hamad masoud hamad na naibu wake mhe issa haji ussi
7. Wizara ya elimu na mafunzo ya amali mhe ramadhan abdalla shaaban, naibu wake mhe zahra ali hamad
8. Wizara ya afya mhe juma duni haji naibu wake dk sira ubwa mamboya
9. Wizara ya ustawi wa jamii na maendeleo ya wanawake na watoto mhe zainab omar mohd.
10. Wizara ya habari, utamaduni, utalii na michezo mhe abdilahi jihad hassan, naibu wake.
11. Wizara ya ardhi makaazi, maji na nishati mhe ali juma shamhuna, naibu wake mhe haji mwadini makame
12. Wizara ya kilimo na maliasili mhe mansour yussuf himid,
13. Wizara ya biashara viwanda na masoko mhe nassor ahmed mazrui, naibu wake mhe thuwaiba edinton kisasi.
14. Wizara ya mifugo na uvuvi mhe said ali mbarouk
15. Wizara ya kazi, uwezeshaji wananchi kiuchumi na ushirika mhe haroun ali sleiman.
16. Mhe sleiman othman nyanga, mhe haji faki shaali na mhe machano othman said ni mawaziri wasio na wizara maalum.
You Are Here: Home - - BREAKING NEWS.....Waziri kiongozi wa Zamani Mh. Nahodha NJE... Baraza la mawaziri serikali zanzibar ni hili
0 comments