Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - BAADHI YA WANAFUNZI WALIOFUTIWA UDHAMINI WA SERIKALI WAJULIKANA

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter habari za uhakika zilizofikia mtandao wa The THOMCOM zimetaja majina ya baadhi ya wanafunzi walioitwa home ikiwa ni pamoja na kufutiwa udhamini wa serikali kama ifuatavyo... (1) Kanyathare Boniphace (2) Kwagilwa Reuben (3) Hussein Pazi (4) Ally Lusesa (5) Busury A. Omary (6) Jina bado halijafahamika
Tags:

5 comments

  1. Anonymous says:

    mama mama mamaaaa kwa hiyo huo ndio mwisho wao? kweli serikali msumeno
    sasa hiyo mijamaa kweli imekwisha namna hiyo? du,

  2. Anonymous says:

    ehee hii serikali ni noma jamani wangemuachia uyo ambaye amebakisha mwaka mmoja.inatia huruma.mung awabariki uko waendapo

  3. Anonymous says:

    you can't believe!

  4. Anonymous says:

    man mi naona poa kwa kutupa hbr hyo,LKN uwe unatoa hbr angalau kdg zwe nauhakika na co kusema mara INASADIKIKA,sa km ikija julikana kama co kweli utawaomba/kuwataka RADHI HAO WATAJWA HAPO JUU NA JUMUIA YA WATZ KWA USUMBUFU UTAKAOKUWA UMEJITOKEZA AU JUST UWANJA WA KUJIFUNZIA SIASA??.B SURE MAN

  5. Anonymous says:

    teh...teh....ni kweli lakini haikuhusu)))))))

Post a Comment