Na Mwandishi wetu Hapiness
Timu ya wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania ulipo Moscow Russia upo kwenye harakati kabambe za kuhakikisha kuwa kila Raia wa Urusi anaijua Tanzania. Kampeni hiyo inayoongozwa na Balozi wa Tanzania Urusi Capt. Jaka Mwambi imeonesha mafanikio makubwa baada ya komgamano la hivi karibuni ambalo lilihudhuriwa na watu wengi kabisa. Kongamano hilo lililofanyika katika ubalozi wa Tanzania Urusi tarehe 13.10.2010. Fuatana na mwandishi wetu Happiness ambaye ametuletea Picha hizi.
0 comments