Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Bara Julius Msekwa aagwa

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Image
Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Julius Msekwa, mtoto wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Bara, Pius Msekwa, wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika nyumbani kwa wazazi wa marehemu, barabara ya Bongoyo katika eneo la Oysterbay, Dar es Salaam jana. Julius alifariki dunia wiki iliyopita Nicosia, Cyprus, alikuwa Mtaalamu Mshauri Bingwa katika fani ya Teknolojia ya Mawasiliano na alizikwa katika makaburi ya Kinondoni. Wa kwanza kushoto ni Msekwa. (Picha na Freddy Maro)
Tags:

0 comments

Post a Comment