Hatua hio inasemekana inatokana na kuekezwa vikwazo dhdii ya nchi hio ya kiislamu na Marekani, kutokana na mpango wake wa kinyukliya unaozua mzozo .
Mashirika ya habari ya ISNA na IRNA yameeleza kuwa ndege hizo zimenyimwa mafuta tangu wiki iliopita.
Taarifa hizi, hatahivyo, hazijadhibitishwa na vyanzo vya habari vilivyo huru.

0 comments