You Are Here: Home - - Breaking News
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Rais wa Nigeria aifungia timu ya nchi yake ya mpira wa miguu miaka miwili bila kushiriki michuano yoyote ya kimataifa kutokana na kuonesha udhaifu katika michuano ya Kombe la Dunia linaloendelea nchini Afica ya Kusini. Nigeria ilitolewa mapema katika mzunguko wa kwanza.
0 comments