Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Kumsaidia mgonjwa kufa si uhalifu,Ujerumani

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Katika kesi maalum inayohusiana na juhudi za kumsaidia mgonjwa ayamalize maisha yake, mahakama kuu ya hapa Ujerumani imeamuru kuwa kitendo cha kusitisha matibabu yanayomsaidia mgonjwa kuendelea kuishi si uhalifu, endapo mgonjwa mwenyewe alieleza bayana kabla kuwa hataki kuendelea na tiba hiyo.

Mahakama hiyo imebatili uamuzi uliomtia hatiani mwanasheria mmoja aliyemshauri mteja wake kuuzima mtambo ulio na mpira wa kumlisha mamake ili aendelee kuwa hai.
Tags:

0 comments

Post a Comment