Hapa ni mmoja kati ya walioshiriki katika kuwania taji hilo la Miss Africa 2010 kutoka Angola
Bi. Luiza Roza - Angola. Bi Luiza ameshika nafasi ya Tatu baada ya kuzidiwa kete na warembo toka Zambia na Mali aliyeshika nafasi ya Pili
Bi. Dallia Rozabel - Congo Brazzaville
Hapa Bi. Mwanza Mulolo toka Zambia aliyenyakua taji hilo akikabidhiwa waridi na mpenzi wake kabla ya matokeo kutangazwa
Bi. Mwanza akionesha vazi lake la mtoko
Baada ya Matokeo kufahamika, Bi. Mwanza akiwa na wadau na Wafadhili wa Pambani hilo ambao ni pamoja na ALAMIN TRAVEL, EGYPT AIR na INSURANCE company LOID CITY.
Bi. Mwanza, akisalimiana na aliyetwaa taji hilo mwaka jana yaani 2009 kutoka Nigeria.
nguo zao mvuto,''f'' i mean mvuto ''0%''
tuoneshe mamiss wote,na namba zao..