Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Mwili wa mke wa Rais wa Poland warejeshwa

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Mwili wa mke wa Rais wa Poland, Maria Kaczynsky umerejeshwa mjini Warsaw kwa ndege kuzikwa kando ya kaburi la mumewe marehemu Rais Lech Kacznski .
Poland ipo katika majonzi makubwa, tangu wawili hao na viongozi wengine kadha wa kisiasa na kijeshi kufariki dunia kwenye ajali ya ndege mji wa Smolenski mashariki mwa Urusi siku ya Jumamosi.

Bunge la Poland linatarajiwa kufanya kikao kujadili ajali hiyo.

Mwili wa Rais Kaczynski ulirejeshwa Poland siku ya Jumapili na ibada ya mazishi yake itafanyika Jumamosi na atazikwa Jumapili ijayo.
Tags:

0 comments

Post a Comment