You Are Here:
Home -
-
Kamati kuu ya CCM ikiongozwa na Rais Kikwete
Kamati kuu ya CCM ikiongozwa na Rais Kikwete
Posted by B.M.T on Sunday, March 28, 2010 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
 |
Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akiongoza kikao cha Kamati kuu ya CCM Ikulu, Dar es Salaam jana. Wengine katika picha ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Amani Abeid Karume (kulia), Katibu Mkuu wa CCM Yusuf Makamba (wa pili kushoto), Makamu wa CCM Bara Pius Msekwa, Rais Mstaafu awamu ya pili Ali Hassan Mwinyi, Rais mstaafu awamu ya Tatu Benjamin Mkapa na Waziri kiongozi wa SMZ Shamsi Vuai Nahodha |
Tags:
0 comments