Ubaya wa askari na mgambo popote pale katika nchi za kiafrika hawajui kumuheshimu mwananchi, kweli kaamrishwa na yupo kazini lakini njia wanazowafanyia wananchi ni mbaya hawana heshima ya kutosha wanafanya na zaidi walivyoamrishwa, ndioo maana inatokea watu kuwachukia.