You Are Here: Home - - Labda wakija hawa zaidi ya 80 hali ya hewa itabadilika na kutulia.....
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
hapo alfajiri ya siku ya jumatano tarehe 29.10.2008 wanawasili wanafunzi 28 katika group ya kwanza kwa mwaka 2008/2009. wanafunzi hao watakaowasili majira ya saa 06:40 saa za Moscow watafikia uwanja wa ndege wa kimataifa Domodedova kwa shirika la ndege la Qatar. kutokana na hali ya mambo ilivyohivi sasa hapa kwa upande wa wanafunzi, inasemekana kuwa kundi hili kuwa kabisa ambalo linazidi ile la mwaka 2005 na 2007 litaweza kubadilisha hali ya mambo kutokana na makisio yanayoendelea kutolewa. je unafikiri ni kweli kuwa hali ya mambo na uhasama kati ya wanafunzi wenyewe na kati yao na ubalozi itageuka kuwa faraja?
duh! man dont close your blog untill you die coz this will connect us even when we will be in tanzania ok??
Hahahh Embassy imeomba mtumiwe pesa kwenye account zenu ili msiwasumbue nyinyi watoto wa mama.