Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - -

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bw. Gratian Mkoba (kushoto) akikimbilia kwenye gari la Polisi jana wakati risasi zikipigwa angani na polisi ili kutawanya walimu waliokuwa katika mkutano wa kujadili mgomo uliotarajiwa kuanza nchi nzima leo.  Baada ya tamko la Rais huyo la kusitisha mgomo huo, kutolewa, walimu walitaharuki na kufanya vurugu zikiwamo za kurusha mawe kupinga tamko hilo katika ukumbi wa Diamond Jubilee.  (Picha na Charles Lucas)

(CWT), Bw. Gratian Mkoba (kushoto) akikimbilia kwenye gari la Polisi jana wakati risasi zikipigwa angani na polisi ili kutawanya katika mkutano Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Bw. Gratian Mkoba (kushoto) akikimbilia kwenye gari la Polisi jana wakati risasi zikipigwa angani na polisi ili kutawanya walimu waliokuwa katika mkutano wa kujadili mgomo uliotarajiwa kuanza nchi nzima leo. Baada ya tamko la Rais huyo la kusitisha mgomo huo, kutolewa, walimu walitaharuki na kufanya vurugu zikiwamo za kurusha mawe kupinga tamko hilo katika ukumbi wa Diamond Jubilee.wa kujadili mgomo uliotarajiwa kuanza nchi nzima leo. Baada ya tamko la Rais huyo la kusitisha mgomo huo, kutolewa, walimu walitaharuki na kufanya vurugu zikiwamo za kurusha mawe kupinga tamko hilo katika ukumbi wa Diamond Jubilee. (Picha na Charles Lucas)
Tags:

0 comments

Post a Comment