Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - HABARI ZA KITAIFA , HABARI ZA LEO - Leo katika Bunge

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akijibu majibu ya maswali ya papo kwa papo leo Bungeni mjini Dodoma.

 Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt, Emmanuel Nchimbi  akisoma Hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yake kwa Mwaka wa fedha 2011/12 Bungeni mjini Dodoma leo.

 Waziri Kivuli wa kambi ya upinzani wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Joseph Mbilinyi akiwasilisha hotuba yake  ya wizara hiyo ya makadirio ya mapato na matumizi katika kipindi cha mwaka wa fedha  2011/12 Bungeni mjini Dodoma leo.

 Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt, Emmanuel Nchimbi (kushoto) akijadiliana jambo na Naibu wake Dkt. Fenella Mukangara wakati wa majadiliano ya Hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara yao kwa mwaka wa fedha 2011/12 leo mjini Dodoma.

 Baadhi ya wakuu wa Idara na Taasisi zilizopo chini ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakifuatilia Hotuba ya Makadirio na Mapato ya Matumizi ya Wizara hiyo kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2011/12 Bungeni mjini Dodoma leo.

 baadhi ya wanafunzi wa shule ya Sekondari ya jamhuri ya Dodoma wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Emmanuel Nchimbi ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya  mwaka wa Fedha 2011/12 Bungeni mjini Dodoma leo.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi yake Mjini Dodoma leo.

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Taifa, Dk. Asha Rose Migiro kwenye makazi ya Waziri Mkuu Mjini Dodoma leo.

 Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt, Asha-Rosse Migiro  akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano,Job Ndugai alipowasili ofisini kwake Bungeni Dodoma na kufanya mazungumzo nae leo.

 Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha-Rose Migiro akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania, Job Ndugai.

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha-Rose Migiro akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wabunge mjini Dodoma leo.Picha

0 comments

Post a Comment