MBUNGE wa Jimbo la Ubungo, John Mnyika, ametoa asilimia 40 ya mshahara wake kwa kipindi chote cha ubunge wake kuchangia mfuko wa elimu na kituo cha elimu kinachotarajia kuanzishwa jimboni humo. Mnyika alisema ametoa asilimia 20 ya mshahara uliopita na kwamba, lengo ni kutunisha mfuko huo. |
You Are Here: Home - - Mnyika ajitolea mshahara wake
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:



0 comments