Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Papa ashambuliwa usiku wa kuamkia Christmas. atoa ujumbe licha ya shambulio

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter

Papa Benedict al XVI-lea a ţinut cuvantul său în Piaţa Spania din Roma

Papa Benedict al XVI

Papa atoa ujumbe licha ya shambulio
Baba mtakatifu ametoa ujumbe wake wa Krismasi mjini Roma kama ilivyo utamaduni, ikiwa ni saa chache baada ya kuvamiwa na mwanamke mmoja wakati misa ikianza.

Papa amezungumza kwa ukakamavu mbele ya maelfu ya waumini katika eneo la Mtakatifu Petro.

Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki hakuumia mahala popote baada ya tukio la mwanamke huyo kumrukia, ingawa Kardinali mmoja alivunjika mguu katika tukio hilo.

Mwanamke huyo ametajwa kuwa na umri wa miaka 25 na ana uraia wa Uswisi na Italia.

Hakuna sababu iliyotajwa ya mwanamke huyo kujaribu kumvamia Papa.

Tags:

0 comments

Post a Comment