You Are Here:
Home -
HABARI ZA LEO
,
HABARI ZA MICHEZO
-
Man United yaichapa Barca 2-1 mechi ya kirafiki
Man United yaichapa Barca 2-1 mechi ya kirafiki
Posted by B.M.T on Monday, August 01, 2011 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:

TIMU ya Manchester United jana iliibuka kidedea kwa kuifunga Barcelona katika mchezo wa kirafiki uliopigwa katika Uwanja wa FedEx mjini Washington DC. Magoli ya Man U yaliwekwa kimiani na Nani (22), Owen (76) wakati la Barcelona likifungwa na Thiago (70).
Wachezaji wa Timu ya Barcelona wakishangilia kuifunga Man U na kutwaa ubingwa wa Club bingwa barani Ulaya. MAN U imelipa kisasi hicho
0 comments