Timu ya Real Madrid imefanikiwa kutwaa kombe la klabu bingwa Ulaya UEFA kwa kuibanjua timu wa Barcelona kwa bao 1 bila majibu mechi ambayo ililazimika kupigwa dakika 120. Barcelona ilijikuta ikbanjuliwa bao hilo la ushindi katika dakika ya 104 Baada ya mchezaji machachari Cristiano Ronaldo kucheza kucheza kabumbu safi iliyomshinda mlinda mlango wa Barcelona. Hadi dakika zinayoyoma, Real Madrid 1 Barcelona 0
![](http://www.blogger.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
0 comments