Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - JK SI MTU WA KINYONGO. ASALIMIANA NA MBOWE KWA RAHA ZOTE

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akisalimiana na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe wakati wa sherehe za Siku ya Sheria zilizoanyika Mahakama Kuu, Dar es Salaam
Tags:

1 comments

  1. Lusako says:

    Unamaanisha nini unaposema JK sio mtu wa kinyongo kwani kusalimiana na mtu ndio kutokuwa na kinyongo na kumbuka kuwa wapinzani sio kwamba ni maadui..mnaweza mkawa ndugu mnatoka nyumba moja lakini mkatofautiana mtizamo lakini kutofautiana hakuwafanyi msi salimiane.

Post a Comment