Hali bado ni tete jijini Arusha, Hadi jioni Risasi zinarindima. Wafuasi wa CHADEMA wakesha kituo cha polisi wakishinikisha viongozi wao kuachiwa.
Ujumbe toka Selo:
"TUKO TUMELALA KITUONI JAPO HATUKO LOCKUP. M/KITI MBOWE, NDESA na SLAA TUKO POLISI MKOANI. WABUNGE LEMA,SELASINI WAKO CENTRAL. KESHO MAHAKAMANI"
huo ni ujumbe toka ndani ya selo walikopelekwa viongozi wa CHADEMA.
Kwa habari zaidi fuatana nasi.

0 comments