Mhe. mbunge, Andrew Chenge, akiwasili katika Mahakaman ya Kinondoni leo asubuhi kusikiliza hukumu
yake.
Umati uliokuwa ukifutilia hatima ya Chenge uliokuwepo mahakamani hapo asubuhi.
Chenge akijitapa kiutani kuwa yeye ndiye “Rais wa Afrika” wakati akisubiri kusomewa hukumu. Kulia ni wakili wake, Simon Mponda.
Mke wa Chenge, Tina Chenge, (kulia) na ndugu zake, wakichekelea baada ya hukumu kutolewa.
Chenge akipongezana na mkewe baada ya hukumu.
Mke wa Chenge na ndugu wengine wakihesabu pesa kwa ajili kulipa faini.
Chenge na mkewe wakiondoka mahakamani hapo baada ya kesi kumalizika.


0 comments