18 NOVEMBA, 2010
Serikali nitakayoiunda siku chache zijazo itakuwa na vipaumbele 13 vifuatavyo:
1. Kuhakikisha kwamba nchi yetu inaendelea kuwa yenye umoja, amani na usalama, na Muungano wetu unaendelea kudumu na kuimarika;
2. Kuendeleza juhudi za kukuza uchumi na kupunguza umaskini nchini kwa kuchukua hatua thabiti za kuharakisha mapinduzi ya kilimo, ufugaji, uvuvi na viwanda. Aidha, tuboreshe mazingira ya uwekezaji na biashara nchini ili tuvutie wawekezaji wengi wa ndani na nje kuwekeza katika sekta mbalimbali;
3. Kuongeza jitihada za kuwawezesha kiuchumi wananchi wa makundi yote ili waweze kushiriki na kunufaika na uchumi wetu unaokua.
SOMA HOTUBA KAMILI.. BOFYA HAPA
![](http://www.blogger.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
0 comments