Waangalizi wa mwenendo wa Uchaguzi wa Kimataifa wakiwa katika kituo cha Gongolamboto Madafu mapema leo asaubuhi kufuatialia mwennedo wa uchaguzi kituoni hapo. Hali ilikuwa shwari.
mtumishi wa kituo cha kupiga kura akibandika tangzao la kituo cha Madafu huko Gongolamboto
msimamizi wa kituo akiandaa utaratibu wa kupiga kura huku wananchi wakiwa kwenye mstari
vifaa vya kupigia kura vya Tume ya Uchaguzi
0 comments