Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Iran yasema Ujerumani na mataifa mengine yakataa kuzijazia mafuta ndege za usafiri za Iran.

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Mashirika ya habari ya Iran yameripoti kwamba mataifa kadhaa, yakiwemo Ujerumani, Uingereza, Kuwait na Umoja wa Falme za Kiarabu yanakataa kuzipatia mafuta ndege za abiria za Iran zinazopitia katika anga zao.

Hatua hio inasemekana inatokana na kuekezwa vikwazo dhdii ya nchi hio ya kiislamu na Marekani, kutokana na mpango wake wa kinyukliya unaozua mzozo .

Mashirika ya habari ya ISNA na IRNA yameeleza kuwa ndege hizo zimenyimwa mafuta tangu wiki iliopita.

Taarifa hizi, hatahivyo, hazijadhibitishwa na vyanzo vya habari vilivyo huru.
Tags:

0 comments

Post a Comment