Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - China yaikingia kifua Iran dhidi ya vikwazo

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter China imerudia msimamo wake wa vikwazo dhidi ya Iran si njia ya kumaliza mzozo unaohusu mpango wake wa nyuklia.
Wito huo wa China umetolewa huku kukiwa na dalili kutoka kwa Wamarekani kwamba China na Marekani wamekubaliana kuchagiza kuwekwa vikwazo vipya dhidi ya Iran.

Awali baada ya mazungumzo baina ya Rais Obama na mwenzake wa China, Hu Jintao, Ikulu ya Marekani ya White House ilisema viongozi hao waliwaagiza mabalozi wao kuhakikisha vikwazo vinawekwa dhidi ya Iran.
Tags:

0 comments

Post a Comment