Mpendazoe amesema CCM sio Hellena (jina la mama yake) kiasi cha kushindwa kuondoka na kuwa ccm imepoteza mwelekeo na kwamba inaipeleka nchi pabaya.
Ametoa taarifa hii kwenye ukumbi wa Idara ya Habari-MAELEZO jijini DSM leo mchana.
Hata hivyo kuna madai kuwa CCM ilikuwa imepanga kumfukuza uanachama kwa madai kuwa anakihujumu chama!
SYLIVESTER ERNEST,
MDAU,
NAIROBI-KENYA

0 comments