Kikosi cha timu ya Yanga SC.
Timu ya Yanga SC 'Watoto wa Jangwani' leo imetoa dozi kali, baada ya kuwashushia kichapo Toto Africans 'Wana kisha mapanda' kwa mabao 6-0 kwenye mechi iliyopigwa jioni hii katika uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam. Magoli matatu ya Yanga yamewekwa kimiani kipindi

0 comments