Lawama zamwangukia kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam Kamanda Kova. yadaiwa ilikuwa setup Sakata la Jerry Muro limeingia sura mpya jioni hii baada ya mtangazaji huyo kutinga katika ofisi za gptz na kupasua jipu mara baada ya Kamanda Kova kuongea na media mapema leo. Mengi mazito ameongea...msikilize mweyewe katika mahojiano haya pekee na mtandao wako nambari one Bongo! |

0 comments