Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Urusi na Mataifa ya CIS yamwomboleza Simba wa Vita Hayati Rashidi Mfaume Kawawa

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter
Picha za Utiaji saini wa kitabu cha maombolezo kufuatia msiba wa Simba wa Vita Mzee Rashidi Mfaume Kawawa katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Urusi.
. Hayati Mzee Rashidi Mfaume Kawawa. (May 27, 1926 – December 31, 2009) was the Prime Minister of Tanganyika in 1962 and of Tanzania in 1972-77. Succeeded by Edward Moringe Sokoine (ruled 13 February 1977 to 7 November 1980 and again from 24 February 1983 to 12 April 1984). Kawawa was a strong advocate of economic statism. After his retirement, Kawawa remained a behind-the-scenes influence in Tanzanian politics. Kawawa died on 31 December 2009 in Dar es Salaam at the age of 83) BALOZI WA ALGERIA NCHINI URUSI H.E. CHERGUI SMAIL AKITOA HESHIMA ZAKE MBELE YA PICHA YA HAYATI MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA. BALOZI SMAIL AMEMWELEA MZEE KAWAWA KUWA NI MFANO WA KUIGWA KATIKA SIASA ZA AFRIKA BALOZI WA ALGERIA NCHINI URUSI H.E. CHERGUI SMAIL AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO MINISTA KANSELA THABO MAFOKO WA UBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NCHINI URUSI AKISALIMIANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI H.E. Capt. (Mstaafu) JAKA MWAMBI KABLA YA UTIAJI SAINI. MINISTA KANSELA THABO MAFOKO WA UBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NCHINI URUSI AKIBADILISHANA MAWAZO NA AFISA WA UBALOZI WA TANZANIA TANZANIA NCHINI URUSI. MBAROUK N. MBAROUK. MINISTA KANSELA THABO MAFOKO WA UBALOZI WA AFRIKA YA KUSINI NCHINI URUSI AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. MH. MAFOKO AMEMTAJA MZEE KAWAWA KAMA MMOJA WAPO WA VINARA WA UHURU WA AFRIKA KUSINI NA MZEE WA VITA VYA UBAGUZI WA RANGI. BALOZI WA KAMERUNI NCHINI URUSI H.E. MAHAMAT PABA SALE AKITOA HESHIMA ZAKE MBELE YA PICHA YA SIMBA WA VITA. BALOZI WA KAMERUNI NCHINI URUSI H.E. MAHAMAT PABA SALE AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. BALOZI PABA SALE AMEMTAJA MZEE KAWAWA KUWA KIJANA ASIYEZEEKA, MWENYE NGUVU, NA SHUPAVU. MMILIKI WA KAMPUNI YA MOYO AFRICA EXPLORATION BW. ALEX PLYASKIN AKISALIMIANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI. KUSOTO NI AFISA WA UBALOZI WA TANZANIA ANAYESHUGHULIKIA MAMBO YA UTALII NA KUITANGAZA TANZANIA NCHINI URUSI MH. GEORGE LENGEJU. MMILIKI WA KAMPUNI YA MOYO AFRICA EXPLORATION BW. ALEX PLYASKIN AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. MMILIKI HUYO AMBAYE NI MRUSI ANAYEENDESHA KAMPUNI YAKE TANZANIA AMEMTAJA MZEE KAWAWA KUWA MLINDA MALI ASILI, JASIRI NA MWENYE KULINDA HESHIMA YA BARA LA AFRIKA BALOZI WA BURUNDI NCHINI URUSI H.E. ISIDORE NIBIZI AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. BALOZI NIBIZI AMEMTAJA MZEE KAWAWA KUWA MTU MAKINI, KIONGOZI HODARI NA MCHAPAKAZI BALOZI WA ZAMBIA NCHINI URUSI H.E. DR. PETER L. CHINTALA AKIKUMBATIANA NA H.E. BALOZI WA TANZANIA NCHINI URUSI KABLA YA UTIAJI WA SAINI BALOZI WA ZAMBIA NCHINI URUSI H.E. DR. PETER L. CHINTALA AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. DR. CHINTALA AMESEMA KUWA MZEE KAWAWA NI MHIMIZAJI MKUBWA WA SIASA YA UJAMAA UMOJA NA KUJITEGEMEA. BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI URUSI H.E. PHELEKEZELA MPHOKO AKISALIMIANA NA BALOZI WA TANZANIA. BALOZI MPHOKO NI MMOJA WA MABALOZI WA KIAFRIKA NCHINI URUSI AMBAO WALITOA HOTUBA MUHIMU KATIKA SIKU YA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE MWAKA 2009. KUMBUKUMBU HIZO ZILIFANYIKA KATIKA INSTITUTE OF AFRICA KIICHOPO NCHINI URUSI. BALOZI WA ZIMBABWE NCHINI URUSI H.E. PHELEKEZELA MPHOKO AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. BALOZI WA SENEGALI NCHINI URUSI H.E. MAJ. GEN. MOUNTAGA DIALLO AKITOA HESHIMA ZAKE MBELE YA PICHA YA HAYATI MZEE RASHIDI KAWAWA. BALOZI WA SENEGALI NCHINI URUSI H.E. MAJ. GEN. MOUNTAGA DIALLO AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. BALOZI WA NAMIBIA H.E. DR. SAM K. MBAMBO AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO. MWAMBATA WA KIJESHI WA TANZANIA NCHINI URUSI BRIGEDIA JENERALI M.M. KILLO AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU LUMUMBA URUSI BW. IDDI KHATIB IDDI AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO DR. SHAABAN NZONI AKISAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO MMILIKI WA THE THOMCOM NAYE ALIKUWEPO KATIKA KUTIA SAINI DAFTARI LA MAOMBOLEZO, KUMUENZI MZEE RASHIDI KAWAWA
PICHA NA THE THOMCOM MOSCOW - 14/01/2010
Tags:

2 comments

  1. B2S says:

    Mola amlaze mahali pema amin.

  2. Anonymous says:

    Naamini hakuwa na makuu kama mafisaji wa siku hizi. apumzike kwa amani amen

Post a Comment