You Are Here: Home - - Sofia James Afariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Habari za kusikitisha zilitofukia , zinasema kuwa yule msichana aliyejulikana kwa jina la Sofia James, aliyekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kuvimba miguu amefariki dunia. Kwa mujibu wa baba mzazi, Bw. james Mwiga, Sofia ameaga dunia majira ya saa moja jioni nyumbani kwao maeneo ya Makongo, jijini Dar es salaam.
Kulikuwepo na na mipango mingi ikiwemo ya kumpeleka Ulaya kutibiwa, lakini Mungu amemchukua kabla azma hiyo haijatimia.
MUNGU AILAZE roho ya marehemu peponi...AMINA!
0 comments