IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
NEW YEAR PARTY ILIVYOKWENDA NDANI YA KUMBI ZA UBALOZI WA TANZANIA MOSCOW RUSSIA
![](//1.bp.blogspot.com/_4uoEb5Uo2u0/Sz58c6ddgOI/AAAAAAAACrM/Y1s4gSZtWkI/s320/DSC00083.JPG)
kATI YA WATU MUHIMU WALIOFANIKISHA SHEREHE HIYO NI DJ. OMMY NA DJ. NIC
![](//1.bp.blogspot.com/_4uoEb5Uo2u0/Sz58cey7N1I/AAAAAAAACrE/zpyMjMB3v-w/s320/22360_1075162335812_1728812279_143341_1137667_n.jpg)
BAADHI YA WADAU WAKUBWA WA KAMATI YA MAANDALIZI. KUSHOTO NI CHRISPINE BAKUNDA NA SHABAN BIBOZE
![](//3.bp.blogspot.com/_4uoEb5Uo2u0/Sz58cedBLmI/AAAAAAAACq8/XFLpcx7bJRw/s320/22360_1075086093906_1728812279_143188_5115008_n.jpg)
MW. WA UMOJA WA WANAFUNZI CHUO KIKUU LUMUMBA AKITETA KITU NA CHRISPINE BAKUNDA KATIKA SHEREHE HIYO...
JANE RUNJE NDO MSHINDI WA MISS PARTY AMBAYE NDIYE ALIYESHINDA TAJI LA KUWA MREMBO ANAYEVUTIA KULIKO WOTE KATIKA PARTY HIYO ILIYOFANYIKA KATIKA KUMBI ZA UBALOZI WA TANZANIA MOSCOW RUSSIA
MAMBO YALIANZA HIVI
![](//1.bp.blogspot.com/_4uoEb5Uo2u0/Sz57xtHmEtI/AAAAAAAACqs/HLAnRMWTNo0/s320/22360_1075162255810_1728812279_143339_5094118_n.jpg)
GHAFLA
KISHA MAMBO YAKAENDELEA HIVI HADI SAA MBILI ASUBUHI....
![](//1.bp.blogspot.com/_4uoEb5Uo2u0/Sz57O64dp6I/AAAAAAAACp8/3uN1NQh1w6E/s320/DSC00160.JPG)
ALIYEVAA KAMA PAPA OBASANJO NDIYE ALIYESHINDA TAJI LA Mr. PARTY (Bw. ENOCK KALULU)
Na mwandishi wetu Jerry...
Moscow 2010
Tags:
Sabasi unatisha, Kalulu ndo usiseme, Safi sana watu wanatakiwa wafulahi. Big up party organizers
Miss anatisha, yaani wamepatia sana maana amefunika hakuna mpinzani wanaosema kulikuwa na mizengwe wamefulia. wengine pia walipendeza ila huyu kamaliza kila kitu na kula idara kuanzia kucheza hadi mapooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Jane anatisha!
kalulu unatisha sana.upo juu kama michuzi,jane unatisha pia .hadi blog yetu hii ya kukopi na kupaste haijawasahau.
nyie watoto inaelekea hamjaacha upuuzi bado tu?safari hamjapigana kama mlivyofanya ujinga kwenye harusi ya daudi?anyway ni utoto mkikua mtaacha