Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - Mwanaume mfupi na mrefu kuliko wote duniani wakutana

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter Mwanaume mfupi na mrefu kuliko wote duniani wakutana Mwanaume mfupi kuliko wote dunia, He Pingping (kushoto) raia wa China na Sultan Kosen wa Uturuki (kulia) ambaye anadaiwa kuwa mrefu kuliko wote dunia, walikutana Januari 14 mwaka huu na kupiga picha ya pamoja na kuchagua pozi poa kama wanavyoonekana pichani huko mjini Istanbul nchini Uturuki. He ana urefu wa sentimita 73 (futi 2 na inchi 5) na Kosen ana urefu wa sentimita 246.5 (futi 8 na inchi 1) na He ameorodheshwa kwenye rekodi ya dunia ya Guiness kuwa ni mwanaume mfupi kuliko wote duniani na huku Kosen akiwa na rekodi ya kuwa mrefu zaidi duniani. Mwanaume mfupi na mrefu kuliko wote duniani wakutana He na Kosen wakihojiwa na waandishi wa habari nchini Uturuki.
Tags:

0 comments

Post a Comment