Posted by B.M.T on Saturday, December 05, 2009 //
0
comments
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Usajili wa CAF: Simba wachezaji 27, Yanga 29
Mwanachama wa friends of Simba, Geofrey Nyange (Kaburu) akiwa na Mike Baraza walipotua katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana Jumatatu, alikwenda Nairobi kumfuata Baraza ambaye amesaini kucheza Simba.
Na Mwandishi Wetu
SIMBA na Yanga zimefanya usajili kwa kuongeza wachezaji wawili tu kila upande, lakini usajili wa dirisha dogo ulifungwa rasmi jana Jumatatu.
Simba imewasajili Mike Baraza na Jerry Santo wote kutoka Kenya huku Yanga ikiwasajili John Njoroge na kipa wa Ghana, Ywa Derko.
Huu ndio usajili wote wa klabu hizo mbili ambao mwezi huu utatumiwa pia katika Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ambapo Yanga itashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika na Simba itashiriki Kombe la Shirikisho.
Mchezaji anayecheza katika mashindano yoyote ya CAF, lazima awe pia amesajiliwa na klabu yake kwa mashindano ya ndani.
Huu ndio usajili kamili wa Yanga na Simba
SIMBA
1.Juma Kaseja
2.Haruna Shamte
3.Haruna Moshi
4.Salum Kanoni
5.Kelvin Yondan
6.Salim Aziz 'Gilla'
7.Danny Mrwanda
8.Nico Nyagawa
9.Uhuru Seleman
10. Mussa Mgosi
11.Hilary Echesa
12.Ulimboka Mwakingwe
13.Antony Matangalu
14.Mohamed Banka
15.Ramadhan Chombo
16.Ally Mustapha
17.Joseph Owino
18.Jabir Aziz
19.Deogratius Mushi
20.Juma Jabu
21.Juma Nyosso
22.Emmanuel Okwi
23. Mohamed Kijuso
24.David Naftali
25. Amir Kiemba
26.Mike Baraza (mpya)
27.Jerry Santo (mpya)
WALIOACHWA
1.Meshack Abel- Amekwenda African Lyon kwa mkopo
2.George Nyanda-Amekwenda African Lyon kwa mkopo
3.Adam Kingwande-Amekwenda African Lyon kwa mkopo
YANGA
1. Ally Msigwa
2. Steven Marashi
3. Bakari Mohamed
4. Nadir Haroub
5. Wisdom Ndhlovu
6. Athuman Idd
7. Nurdin Bakari
8.Kabongo Honore
9. Steven Bengo
10. Robert Jama Mba
11.Boniface Ambani
12. Fred Mbuna
13.Geofrey Bonny
14. Mrisho Ngassa
15. Moses Odhiambo
16. Amir Maftah
17. Obren Cuckovic
18. John Njoroge (Mpya)
19. Shadrack Nsajigwa
20. Iddy Ally
21. Abdi Kassim
22. Nelson Kimath
23. Kigi Makasi
24. Shamte Ally
25. Hamisi Yusuph
26. Razak Khalfan
27. Jerry Tegete.
28.George Owino
29.Ywa Derko (Mpya)
WALIOACHWA
1. Mike Baraza-Mkataba umekwisha
2.Vicent Barnabas-Kwa mkopo African Lyon
3.Joseph Shikokoti- Ameondoka
0 comments