
You Are Here: Home - - Kongamano la Chama Cha Kiswahili Moscow Lililofanyika katika kumuenzi Mwalimu J.K. Nyerere
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Kiswahili Moscow Mr. Iddi K. Iddi
Mwanashairi akikabidhi maudhui ya shairi kwa Mlezi wa Chama Cha Kiswahili Moscow Kapteni Mstaafu Mh. Balozi Jaka Mwambi mara baada ya kulisoma shairi hilo lililotungwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hichi Mr. Iddi K. Iddi
Wanachama wakifuatilia kwa makini kabisa Hotuba ya Mlezi wa Chama Cha Kiswahili Moscow Kapteni Mstaafu Mh. Balozi Jaka Mwambi

Bwana Idd hongera sana kwa kuchaguliwa
Huo ndio mwendelezo wa lugha ya Kiswahili. Big up
Anayesoma shairi ni kutoka nchi gani?