You Are Here: Home - - Canada kuchangia bil. 201/- kuendeleza elimu
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
SERIKALI ya Canada inakusudia kuendeleza sekta ya elimu nchini kwa kuchangia sh bilioni 201 katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
Kaimu Mkuu wa Idara ya Maendeleo katika Ubalozi wa Canada nchini Tanzania, Sam Landon, alisema hayo juzi jijini Dar es Salaam wakati wa utoaji wa tuzo ya fasihi ya Kiafrika ya Burt kwa waandishi wa hadithi za watoto.
0 comments