You Are Here: Home - - Sherehe ya siku ya kuzaliwa ya hep bethdei ya Neema Mwambi iliyofanyika Moscow Russia jumamosi 16/05/09
IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII:
Picha na mwandishi wetu Maka .
Hapa nikiwa na Wadau na washiriki wa sherehe hiyo iliyopata kuvunja rekodi kwa kuchangamka sana na kuhudhuriwa na watu wa aina mbalimbali. kutoka kushoto kwangu ni Mzee wa kutumia, papaa wa kuspend mr. Biboze! aliyeko kwenye black ni Bw. Bakunda na anayefuaata ni Nyamandavich....
Wadau, sherehe iltoka kinoma, kimtindo!
Wageni mbalimbali toka Bongo walihudhuria sherehe hiyo.
Makuladiiiiz, ze misosi
wadau mnaona hiyooo?
Mtoto aliyezaliwa siku hiyo Bi Neema Mwambi aking'ara na Head Of Chancery wa ubalozi wa Tanzania ulioko Moscow Russia.
Mtoto huyo aliyezaliwa alionekana mwenye furaha sana na aliwafurahisha watu wengi waliohudhuria sherehe hizo.
Eti wadau! hajapendeza?
Mtoto aliyezaliwa akiingia ukumbini
MMoja wa wageni toka Bongo akijitambulisha katika sherehe hizo zilizoshika moto hadi majogoo....
wageni waalikwa wakiwa wametulia tuli kusikiliza wosia wa Baba mzazi wa mtoto huyo ambaye pia ni Mh. Balozi wa Tanzania Ulioko maeneo ya Pyatnitskaya sterrt huko Moscow Russia.
Misosiiiiiiz! makulajiiiz...Pilau! Kukuuuuz na kadhalika. vinywajiiiiz hadi majogoo, hadi kunakucha...Ilikuwa poa au siyo wadau!!!!
0 comments