Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - maana ya THOMCOM

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter imekuwa ngumu kwa muda mrefu kwa baadhi ya wadau kuchanganya THE THOMCOM na jina la mtu. kumbe THE THOMCOM ina maana nyingine kabisa. Leo THE THOMCOM imeamua kuwabrekisha wadau na wapenzi wa glob hii maana halisi ya jina hilo. wengine wanatamka thomsom ila ilikusudiwa kutamkwa kama TOMKOM. pata maana ya THE THOMCOM:

Tanzania High Oriented Mass COMmunication (ТАНЗАНИЯ ВЫСОКО ОРИЕНТИРОВАННАЯ МАССОВАЯ СВЯЗЬ)

ndugu wapenzi, wadau na wasomaji wa THE THOMCOM, mnakaribishwa katia glob hii na habari zitaendelea kukandamizwa katika liglob hili kama kawaida. kwa kuanzia THE THOMCOM inapenda kukandamiza lihabari lifuatavyo....Kutokana na Bodi ya mikopo kuamua kuweka fedha za wanafunza dairekti moja kwa moja mifukoni mwa wanafunzi mwanewani, kuna mijitu imeanza kutoa mimacho kama mijusi iliyobanwa na mlango kwa kuhonga mwanewani. kamera yetu imembamba laiv mdau wa THE THOMCOM akijibrekisha na singa mwanewani katika maeneo ya utata. kwa kujua zaidi yaliyomsibu mdau huyo, jibrekishe kwa mpiga picha wetu hapo kesho, na habari kamili itapaa hewani laiv. Tuonane Kesho mwanewani!
Tags:

0 comments

Post a Comment