Subscribe to receive latest Updates

Online :

You Are Here: Home - - IDD MBARAKA NJEMA....................

IDADI YA WATU WALIOSOMA HABARI HII: counter WAPENZI, WADAU NA WASOMAJI WA THE THOMCOM INAWATAKIA SIKUKUU NJEMA YA IDD MBARAKA. SALAMU ZA IDD MBARAKA ZIWAENDEE; (1) Shekhe Mbarouk N. Mbarouk (2) Shekhe Rajabu (3) Kanali Killo (4) Mr. Idd k. Idd (5) Mr. Hamis Shemey (6) Mr. Hamis (7) Babu Ally (8) Mr. Said Mahadhi (9) Ms. Fatuma (10) Ms. Sheila na waislamu wooooote Hapa Russia, Tanzania na Duniani kote. THE THOMCOM inawatakia sikukuu njema na yenye Mibaraka tele.
HERI YA IDD MBARAKA 2008 ..................
Tags:

2 comments

  1. Anonymous says:

    kwa niaba ya waislam wote,tunashukuru kwa kututakia EID njema.Inshaalah mungu akuzidishie neema na baraka tele.Amen!

  2. Anonymous says:

    IDD MBARAKA JAMANI. TUSHEREKEE PAMOJA, TUSHANGILIE PAMOJA BAADA YA MFUNGO MTUKUFU WA RAMANDANI NA TULE PAMOJA. IDD MBARAKA

Post a Comment